Monday, December 31, 2012

MAISHA CLUB MTR NA PRIDE FM RADIO WAUNGANA NA KUFANYA BOONGE LA PARTY KUFUNGA MWAKA

 Kwa mara ya kwanza Pride fm radio pamoja na new maisha club mtwara inakuletea boboboooonge la party ya kuitwa WHITE PARTY itakayo anza saa3 usiku mpaka majogoo ukiacha tsh10000/= kwa mlango.lakini pia kutakuwa na matangazo ya moja kwa moja kutoka club yakirushwa na kituo namba moko kusini PRIDE FM RADIO. NAAAA kwa atakaetupia nguo kali nyeupe ata ondoka na bobonge la zawadi

MC Mkali kutoka pride fm radio Sos 2da p
dj mose kutoka pride fm radio atakinukisha sambamba kabisa na ma dj wakali kutoka maisha club 

                        muonekano wa maisha club ya mtwara town ukiwa ndani    

                                         maisha club mtwara town kwa nje

HII SI YA KUKOSAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

No comments:

Post a Comment