Friday, December 28, 2012

JOKATE KUOLEWA MWAKANI

                                                                         jokate

Mkali wa mitindo nchini Jokate Mwigilo amevunja ukimya na kufunguka kuhusiana na mipango yake ya mwakani na kuwa moja kati ya mikakati mikubwa aliyokuwa nayo ni pamoja na kuolewa,

                                                                  kidoti

"Kikubwa ambacho nafikiria kukitimza mwakani endapo Mungu atanijaalia uzima ni kuolewa ili nami niwe mke wa mtu, atakayenioa kwa sasa ni siri yangu na itakuwa ni ‘sapraizi’ kwa wengi"..alifunguka jokate.
kidoti mara kadhaa amekuwa akihusishwa na kuwa na mahusiano na mchezaji wa basketball wa kimataifa Hshem Thabit pamoja na mwanamziki aliye juu kwa sasa Diamond pletnumz,lakin aijulikani ni nani kati yao atakae lamba dume kwa makali huyo wa mitindo nchini.

No comments:

Post a Comment