|
mzee kipara |
|
steven kanumba |
Aprili 7, 2012, hali haikuwa shwari katika tasnia ya filamu za Kibongo
baada ya kufariki kwa ‘legendary’, Steven Kanumba aliyepoteza uhai
ghafla baada ya kudondoka nyumbani kwake maeneo ya Hoteli ya Vatican,
Sinza jijini Dar.
|
patrick mafisango |
Mwezi Mei, mwaka huu, sekta ya michezo nayo ilikumbwa na simanzi baada
ya mchezaji wa Simba, Patrick Mafisango kufariki dunia kwa ajali
iliyotokea maeneo ya Tazara, Dar, wakati akijaribu kumkwepa mwendesha
bodaboda ambapo gari lake liliingia mtaroni na hapo ndipo alipopoteza
maisha.
|
mariam khamisi |
|
mlopelo |
Pia Novemba mwaka huu, mwigizaji aliyepata umaarufu mkubwa enzi za Kaole
Sanaa Group kupitia runinga ya ITV, Khalid Mohamed ‘Mlopelo’ alifariki
dunia kwenye Hospitali ya Temeke, Dar baada ya kuwa na maumivu ya mwili
kwa muda mrefu.
|
john maganga |
Kuonesha kuwa mwezi Novemba bundi alikuwa ameng’ang’ania tasnia ya
filamu za Kibongo, pia alifariki mwigizaji John Stephano Maganga baada
ya kuugua kwa muda mfupi na kulazwa katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili, Dar.
|
sharo millionea |
|
lulu oscar |
No comments:
Post a Comment