Monday, December 31, 2012

RIHANA NA CHRISS BROWN WAJUMUIKA KUFANYA SHOW MJINI ABDIJAN KWENYE TUZO ZA KORA


chriss brown na rihanna
Mkali wa kibao cha ''dont judge me'' Chriss brown na mwadada Rihanna''riri'' wamejikuta wakiwa pamoja kutokana na wawili hao kujikuta kila mmoja akialikwa kutumbuiza katika tuzo za kora ambazo mwaka huhu zimefanyima mjini Abdijan kitu kilichopelekea wawili hao kupanda ndege moja. 
rihanna na chriss bwown enzi za uhai wa penzi lao

lakini pia wasanii wa tanzania waliotajwa kuwania tuzo hizo ni pamoja na Dogo Aslay,Saida kaloli na Ally kiba




MAISHA CLUB MTR NA PRIDE FM RADIO WAUNGANA NA KUFANYA BOONGE LA PARTY KUFUNGA MWAKA

 Kwa mara ya kwanza Pride fm radio pamoja na new maisha club mtwara inakuletea boboboooonge la party ya kuitwa WHITE PARTY itakayo anza saa3 usiku mpaka majogoo ukiacha tsh10000/= kwa mlango.lakini pia kutakuwa na matangazo ya moja kwa moja kutoka club yakirushwa na kituo namba moko kusini PRIDE FM RADIO. NAAAA kwa atakaetupia nguo kali nyeupe ata ondoka na bobonge la zawadi

MC Mkali kutoka pride fm radio Sos 2da p
dj mose kutoka pride fm radio atakinukisha sambamba kabisa na ma dj wakali kutoka maisha club 

                        muonekano wa maisha club ya mtwara town ukiwa ndani    

                                         maisha club mtwara town kwa nje

HII SI YA KUKOSAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

Saturday, December 29, 2012

HAWA NDIO MASTAA TULIOWAPOTEZA MWAKA 2012

mzee kipara

steven kanumba
Aprili 7, 2012, hali haikuwa shwari katika tasnia ya filamu za Kibongo baada ya kufariki kwa ‘legendary’, Steven Kanumba aliyepoteza uhai ghafla baada ya kudondoka nyumbani kwake maeneo ya Hoteli ya Vatican, Sinza jijini Dar.

patrick mafisango
 Mwezi Mei, mwaka huu, sekta ya michezo nayo ilikumbwa na simanzi baada ya mchezaji wa Simba, Patrick Mafisango kufariki dunia kwa ajali iliyotokea maeneo ya Tazara, Dar, wakati akijaribu kumkwepa mwendesha bodaboda ambapo gari lake liliingia mtaroni na hapo ndipo alipopoteza maisha.
 
mariam khamisi

mlopelo
 Pia Novemba mwaka huu, mwigizaji aliyepata umaarufu mkubwa enzi za Kaole Sanaa Group kupitia runinga ya ITV, Khalid Mohamed ‘Mlopelo’ alifariki dunia kwenye Hospitali ya Temeke, Dar baada ya kuwa na maumivu ya mwili kwa muda mrefu.

john maganga
        
Kuonesha kuwa mwezi Novemba bundi alikuwa ameng’ang’ania tasnia ya filamu za Kibongo, pia alifariki mwigizaji John Stephano Maganga baada ya kuugua kwa muda mfupi na kulazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar.                                          
                               
sharo millionea

lulu oscar




Friday, December 28, 2012

JOKATE KUOLEWA MWAKANI

                                                                         jokate

Mkali wa mitindo nchini Jokate Mwigilo amevunja ukimya na kufunguka kuhusiana na mipango yake ya mwakani na kuwa moja kati ya mikakati mikubwa aliyokuwa nayo ni pamoja na kuolewa,

                                                                  kidoti

"Kikubwa ambacho nafikiria kukitimza mwakani endapo Mungu atanijaalia uzima ni kuolewa ili nami niwe mke wa mtu, atakayenioa kwa sasa ni siri yangu na itakuwa ni ‘sapraizi’ kwa wengi"..alifunguka jokate.
kidoti mara kadhaa amekuwa akihusishwa na kuwa na mahusiano na mchezaji wa basketball wa kimataifa Hshem Thabit pamoja na mwanamziki aliye juu kwa sasa Diamond pletnumz,lakin aijulikani ni nani kati yao atakae lamba dume kwa makali huyo wa mitindo nchini.

Thursday, December 27, 2012

KARIBU SANA KWENYE BLOG YA DJ MOSE



                                                                            Dj Mose