chriss brown na rihanna |
Mkali wa kibao cha ''dont judge me'' Chriss brown na mwadada Rihanna''riri'' wamejikuta wakiwa pamoja kutokana na wawili hao kujikuta kila mmoja akialikwa kutumbuiza katika tuzo za kora ambazo mwaka huhu zimefanyima mjini Abdijan kitu kilichopelekea wawili hao kupanda ndege moja.
rihanna na chriss bwown enzi za uhai wa penzi lao lakini pia wasanii wa tanzania waliotajwa kuwania tuzo hizo ni pamoja na Dogo Aslay,Saida kaloli na Ally kiba |