Amekuwa
akiandamwa sana na watu kuwa makalio yake mazuri ni yakutengeneza kitu ambacho
alikanusha lakini ndio mwanamke anaeshika nafasi ya pili katika orodha ya
wanawake wenye mvuto duniani.
Pia
anautajiri wa dola milioni 35, utajiri unaotokana na u-model,uigizaji,biashara
na kuuza sura kwenye tv.
Beyonce Knowles
Ni mama wa
mototo mmoja na ndie anaeshika nafasi ya tatu kwa wanawake wenye mvuto
ulimwenguni
Na ana
utajiri wa dola milioni 300,unaotokana na uandishi wa
nyimbo,prodyuza,muigizaji,model,mvumbuaji wa mavazi na uimbaji.
Serena Williams
Ni maarufu
kwakuwa na mvuto,makalio yake pia yamekuwa yakiandamwa sana na watu na mara
kadhaa mwenyewe amekuwa akisema hakuna
mwanakme mwenye makalio mazuri kama yake.
Pia
anautajiri wa dola milioni 85,unaotokana na uchezaji wa tenesi.
Nick Minaj
Huyu pia ni
miongoni mwa wanadada wanaoelezwa kuwa na makalio na shepu nzuri kitu
kinachopelekea ashike nafasi ya tano kati ya wanawake wenye mvuto
Na
anautajiri wa dola milioni 14, unaotokana na uimbaji wake.
No comments:
Post a Comment