Thursday, January 3, 2013

FILAMU YA BODABODA YAHISIWA KUWA TISHIO KUSINI

Kundi la sanaa ya maigizo lenye makazi yake mjini Mtwara limetangaza rasmi kuwa litaanza kuuza rasmi CD ya muvi yao mpya iitwayo BODABODA Party One.

Mkurugenzi wa Southern Arts Group Mh.SOSPETER MAGUMBA

CD hiyo itakuwa inapatikana kwa kuuzwa mikononi na wanachama wa kundi hilo,
au wasiliana na uongozi kwa namba 0719 635 391/ 0719 519 911
Ili ufikishiwe CD hizo popote ulipo
 
 
KUWA MZALENDO KWA KUNUNUA NAKALA HALISI 

No comments:

Post a Comment