Tuesday, March 5, 2013
KWA MARA YA KWANZA MTWARA "MOUZ AFRICAN COLLECTION" KAMPUNI MPYA INAYOKULETEA NGUO KALI ZA KIAFRIKA
Mwanadada mkali na aliyejipanga kutoka mtwara Tanzania anawaletea nguo za kuafrika anazozi design mwenyewe katika mikato na style tofauti kwa mfano mikato ya kiofisi,mitoko na beach.
Tuesday, February 26, 2013
HATIMAE CHRISS B. NA RIHANNA KUFUNGA NDOA JULY MWAKA HUU
Jarida maarufu (Star Magazine) limeripoti kwamba mastaa wa muziki Chris Brown na Rihanna wanampango wa kufunga ndoa mwishoni mwa July 2013 nyumbani kwa kina Rihanna huko Barbados.
Jarida hili limeendelea kutiririka kwamba kwenye ndoa hiyo wamepanga kusherehekea na watu mbalimbali wakiwemo wanaoamini kwamba Chris Brown amebadilika kitabia.
Ni harusi ambayo watu wote walioalikwa watakua wamesimama na wahudumu watakuepo kumfata kila mtu alipo, pia wale wachoraji wa tattoo watakuepo pia.
Thursday, January 3, 2013
BAADA YA KUKOSHA MASHABIKI KWENYE WHITE PARTY SASA PRIDE FM NA NEW MAISHA CLUB MTWARA WANAKULETEA JEZI PARTY UTAM WA KAAAZI MEEEEEN
NEW MAISHA CLUB MTWARA |
Baada ya kufanya vizuri sanaa katika WHITE PARTY hataaaaaaaaaaariiiiiiiiiiiiiiiiiii.............
moto unaendelea
na sasa PRIDE FM RADIO sambamba na NEW MAISHA CLUB inakuletea tena amaizing party yakuitwa JEZI PARTY
kiwanja ni kilekile cha kijanja kusini nzima NEW MAISHA CLUB, tupia jezi ya timu ambayo unaikubali na jezi ambayo itakuwa imevaliwa na watu kibao itapigiwa shangwe za kutosha
kilivyonuka ndani ya White Party |
KIINGILIO NI TSH 10000/= kwa VIP na VIME
UTAM WA KAAAAZI MEEEEEEEEEN!
FILAMU YA BODABODA YAHISIWA KUWA TISHIO KUSINI
Kundi la sanaa ya maigizo lenye makazi yake mjini Mtwara limetangaza rasmi kuwa litaanza kuuza rasmi CD ya muvi yao mpya iitwayo BODABODA Party One.
Mkurugenzi wa Southern Arts Group Mh.SOSPETER MAGUMBA |
CD hiyo itakuwa inapatikana kwa kuuzwa mikononi na wanachama wa kundi hilo,
au wasiliana na uongozi kwa namba 0719 635 391/ 0719 519 911
Ili ufikishiwe CD hizo popote ulipo
KUWA MZALENDO KWA KUNUNUA NAKALA HALISI
Wednesday, January 2, 2013
HAWA NDIO WASANII WA KIKE WANAOONGOZA KUWA NA MVUTO DUNIANI
Amekuwa
akiandamwa sana na watu kuwa makalio yake mazuri ni yakutengeneza kitu ambacho
alikanusha lakini ndio mwanamke anaeshika nafasi ya pili katika orodha ya
wanawake wenye mvuto duniani.
Pia
anautajiri wa dola milioni 35, utajiri unaotokana na u-model,uigizaji,biashara
na kuuza sura kwenye tv.
Beyonce Knowles
Ni mama wa
mototo mmoja na ndie anaeshika nafasi ya tatu kwa wanawake wenye mvuto
ulimwenguni
Na ana
utajiri wa dola milioni 300,unaotokana na uandishi wa
nyimbo,prodyuza,muigizaji,model,mvumbuaji wa mavazi na uimbaji.
Serena Williams
Ni maarufu
kwakuwa na mvuto,makalio yake pia yamekuwa yakiandamwa sana na watu na mara
kadhaa mwenyewe amekuwa akisema hakuna
mwanakme mwenye makalio mazuri kama yake.
Pia
anautajiri wa dola milioni 85,unaotokana na uchezaji wa tenesi.
Nick Minaj
Huyu pia ni
miongoni mwa wanadada wanaoelezwa kuwa na makalio na shepu nzuri kitu
kinachopelekea ashike nafasi ya tano kati ya wanawake wenye mvuto
Na
anautajiri wa dola milioni 14, unaotokana na uimbaji wake.
Subscribe to:
Posts (Atom)